Golden ya miaka ya 1986 mpaka 1998
Baada ya miaka kadhaa kupita tangu Golden kuanzishwa katikati ilikuja kushuka na hapakuwa na timu ikishiriki michuano yeyote mpaka miaka ya 1986 ndio ilipotokea kikundi cha vijana wa mtaa wa Pangani na Bondeni mkoa wa Arusha kujiunga na kuunda Golden mpya iliyofuzu kupita ligi ya daraja la nne wilaya na kufanikiwa kuchukua ubingwa wa wilaya ya Arusha mjini mara mbili na kuingia daraja la tatu mkoa na kufanikiwa kushika nafasi ya tatu.Timu ilikuwa kubwa ikiongozwa na vijana wa pangani waliojituma kwa hali na mali kuweza kushinda michuano yote,tangia wakati huo Golden ilikuwa timu tishio mkoani imeweza kuchukua makombe kadhaa zote wakishinda bila ya upinzani,timu iliendelea mpaka miaka ya 1998 ndipo ilipokuja nae kushuka daraja kutokana na kutokuwa na ufadhili wa uhakika na mara zote hizo ndio changamoto kubwa iliyokuwa ikikabili klabu hiyo,kutokana na hayo ndio timu ikashuka kwenye michuano na kurudi daraja la nne wilayani,na baadhi ya wachezaji wazuri waliweza kuchukuliwa kwenda kuchezea timu zingine:
1)wyclef ketto (alipotoka Golden akaenda AFC mpaka Simba sports club)
2)Jafari marijani (alipotoka Golden akaenda AFC Arusha)
3)Musa akashi (alipotoka Golden akaenda AFC Arusha)
4)Isaac john (alipotoka Golden akaenda AFC Arusha)
5)Abdillah ismail (a.k.a master) (alipotoka Golden akaenda AFC mpaka Yanga sports club)
6)Muhidini cheupe (alipotoka Golden alienda AFC mpaka Yanga sports club)
7)Seba mohamed (alipotoka Golden alienda AFC mpaka Mtibwa sugar sports club) N.K

0 comments: