Where Everyone is Welcome

Our players in hard training....

Very hard training
physical training coach



they are young but very good in soccer
when training continue with ball

Our training ground
Best player you better watch him with ball


watching is simple but try it u will know
proffesional player (hussein yusuf) BEX
proffesional player juma...



we do alot in our training
Learn more »

At mazingira cup....

Our team in mazingira cup.

Learn more »

Golden kids Academy new Team.....





Learn more »

Wahisani wakiisaidia Golden kids.

Baada ya kufuzu ligi ya mkoa ngazi ya Taifa wahisani wakijitolea kuisaidia Golden kids....
Learn more »

Baadhi za picha za zamani na sasa


Golden Kids Academy inaendelea kupanuka kwa kuwajumuisha wakongwe na wachezaji wa kizazi kipya kilichokuwepo sasa,hatusajili ila tunatengeneza wachezaji kwani kwetu mpira ni maisha na mchezo.
 ikiwa Sheikh Amri Abeid Stadium,3/11/1996,wanne kutoka kushoto: Mussa A,Haruna,Yusuph juma,Isaac john,Alfred a.k.a selenko,Musa a.k. mamjo.Golden  ilikuwa ikicheza na palsons







                
Golden ikisherehekea ubingwa wa wilaya Arusha mjini mwaka 1996
Learn more »

Golden ya miaka ya 1986 mpaka 1998

Baada ya miaka kadhaa kupita tangu Golden kuanzishwa katikati ilikuja kushuka  na hapakuwa na timu ikishiriki michuano yeyote mpaka miaka ya 1986 ndio ilipotokea kikundi cha vijana wa mtaa wa Pangani na Bondeni mkoa wa Arusha kujiunga na kuunda Golden mpya iliyofuzu kupita ligi ya daraja la nne wilaya na kufanikiwa kuchukua ubingwa wa wilaya ya Arusha mjini mara mbili na kuingia daraja la tatu mkoa na kufanikiwa kushika nafasi ya tatu.Timu ilikuwa kubwa ikiongozwa na vijana wa pangani waliojituma kwa hali na mali kuweza kushinda michuano yote,tangia wakati huo Golden ilikuwa timu tishio mkoani imeweza kuchukua makombe kadhaa zote wakishinda bila ya upinzani,timu iliendelea mpaka miaka ya 1998 ndipo ilipokuja nae kushuka daraja kutokana na kutokuwa na ufadhili wa uhakika na mara zote hizo ndio changamoto kubwa iliyokuwa ikikabili klabu hiyo,kutokana na hayo ndio timu ikashuka kwenye michuano na kurudi daraja la nne wilayani,na baadhi ya wachezaji wazuri waliweza kuchukuliwa kwenda kuchezea timu zingine:

1)wyclef ketto                                (alipotoka Golden akaenda AFC mpaka  Simba sports club)
2)Jafari marijani                              (alipotoka Golden akaenda AFC Arusha)
3)Musa akashi                                (alipotoka Golden akaenda AFC Arusha)
4)Isaac john                                   (alipotoka Golden akaenda AFC Arusha)
5)Abdillah ismail (a.k.a master)       (alipotoka Golden akaenda AFC mpaka Yanga sports club)
6)Muhidini cheupe                          (alipotoka Golden alienda  AFC mpaka Yanga sports club)
7)Seba mohamed                            (alipotoka Golden alienda AFC mpaka Mtibwa sugar sports club) N.K

kutoka kuhoto walio simama  Mamjo,Ayubu hamza,Abdi maulid,yusuf juma (yusa),sudi said,musa akshi,isaac john,jaffari marijani,aniskar john,adbul Awadh(kocha)waliopiga magoti toka kulia Abdul Abas(macho)salenko,shukri ismail,mahamud ismail,ramadhani abdallah(nyandaa)


 






Learn more »

Historia ya GOLEN KIDS S.C

Ilianzishwa mwaka 1977

makao makuu ya club enzi hizo yalikuwa - Mtaa wa Bondeni kata ya kati.

club hii ni chimbuko la club iliyojulikana kama Aston villa iliyokuwa Timu ya mtaa wa Bondeni.

Waanzilishi:
Mwasisi mkuu alikuwa ni Mohamed Ally Bakari
Wasaidizi walikuwa ni:
1)Abdul Ramadhani Mursali
2)Mohamed Ngororo
3)Abdul Noor
4)Hussein Nassoro
5)Hussein Maruma
6)Vinod Coach
7)Adam Tasama
8)Ally Hamis Pelly - nahodha
Golden ya 1977 wakiwa uwanjani kwaajili ya kucheza mechi

Club hii mara baada ya kuanzishwa ilianza ligi daraja la pili na kufaulu kuingia daraja la kwanza kwa kushika nafasi ya pili ligi hiyo:


baadhi ya wachezaji wakiwa mtaani picha ya pamoja
1978-timu iliteuliwa kuwakilisha mkoa wa Arusha kwenye michuano ya vijana huko morogoro na kushika nafasi ya tano kitaifa baada ya hapo iliendelea kushiriki michuano mingi ya ligi pamoja na vikombe vyaa mtaani kwa kupambana na timu za mitaa mingine kama -Asante kiatu,Samte rangers,simba rangers na zanta rangers,na ilifanikiwa kutwaa kombe hilo mara moja.Timu hiyo iliendelea kushiriki michuano ligi daraja la kwanza kwa miaka yote iliyofuata.

Baadhi ya wachezaji wa Golden kids Academy enzi hizo, walio wahi kucheza nchi za nje...
na kuweka uhusiano mzuri na wachezaji wa club ya El-Ahly Cairo nchini Misri...




1991,match Tanzania v/s Nigeria,
Africa nation cup student..
from right no 3 Abdulazizi mkindi,
                no 5 Ahmedou Adam
match result TZ 3 - Nigeria 2 in cairo Egypt

1974,First Golden kids Academy Team
1990,Tanzania students football Team in Cairo Egypt,
stands from left,no3 Abdul aziz mkindi,
no 4 Ahmedou Adam,no 6 Said bawazir,
no 7 yusuf dirie,
sits from right side,no1 khalid Abdul kadir

1988,El AHLY sports club in Cairo,
from left Abdul aziz mkindi,suleyman warsame,
Ahmed shuber Goalkeeper EGYPT National  Team
and EL-AHLY sports club,Ahmedou Adam

                         
                             1992,sport tour to Port said City-Egypt,
Abdul azizi mkindi
1987,friendly Match,TZ students with Egyptian
team in pyramids-cairo Egyp
t,from left up,
Abdul azizi mkindi,no 2 down suleiman warsame

1991,champions Team
 in six october league in cairo Egypt

Gold medal Abdul aziz
                                                  
1991,combined team in six october league
at final match in Cairo Egypt
,from left up
Ahmedou Adam,and no 3 Abdul aziz mkindi
1987 sport tour in Alexandria city Egypt,from left
shams elmin,Abdul aziz mkindi,last said bawazir
1990,hostel team from cairo in Alexandria sport tour,
match with Egypt Alexandria team,
match score 1-1
from right up no 2 Abdul aziz mkindi.
             
1991,Friendly match
Tanzania students football team v/s liberia

in cairo Egypt,match score TZ 3 - 1 LIB
from right Abdul aziz mkindi,and last is Ahmedou
stand Khalid abdulkadir
          


Learn more »